Nahitaji Msaada Kwenu Nyinyi Ndugu Zangu Wa Jf

Nahitaji Msaada Kwenu Nyinyi Ndugu Zangu Wa Jf

djcalvin334

Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
14
Reaction score
0
Nahitaji Kununua Compyuter Kwaajili ya kufanya Video Editing
[HASHTAG]#Mwanzo[/HASHTAG] Nilinunu HP yenye 4gb Ram, processer Core Duo 3.00Ghz Hdd 500 Gb
Nimeweka Adobe After Effect CS6 Inakuwa inastak Sa Cjui Tatizo Nn au mashine ni ndogo natakiwa kununua nyingine Naombe Ushauri Km Natakiwa Kununua Nyingine Ninunue Nyenye Vigezo Vp
 
unahitaji nadhani angalau yenye core i5, bila kusahau na graphic card (gpu) angalau ya 2gb. vitu kama ram hdd si ishu sana kwa sababu unaweza kuviongeza na hupatikana kwa urahisi.

Cc CHIEF MKWAWA mawazo yako yanahitajika hapa
 
Cc Chief Mkwawa Mawazo Yako Mkuu
 
Back
Top Bottom