Code geeks mnisaidie kutafuta tatizo kwenye hizi code

Code geeks mnisaidie kutafuta tatizo kwenye hizi code

Pancras Suday

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
8,144
Reaction score
3,848
Hizi code zinafanya kazi bila error yoyote ya SQL au PHP (no browser error), tatizo linakuja ninapoweka pagination tu, kwa records za kwanza hakuna tatizo ila unapojaribu kubonyeza "NEXT LIST" ili iweze kudisplay records zinazofuata kulingana na limit ya records, page inaloop mpaka page 12 ambapo kwa calculation ya kawaida hakuna idadi ya hizo page kulingana na idadi ya rows zangu kwenye database yangu, mimi nimeweka iwe ina-increment kwa 1 kwa maana hiyo inatakiwa ioneshe page namba 2 instead page 12 hebu mnisaidie ni wapi nimemess up

<?php
include("includes/connect.php");

//pagination start
$start = 0;
$limit = 7;
if (isset($_GET['id'])) {
$id = $_GET['id'];
$start = ($id - 1)*$limit;
}else{
$id = 1;
}

// query records from database limit by 7 records only
$sql = "SELECT id, note, td_date, td_time FROM to_do LIMIT ? , ?";
$statement = $conn->prepare($sql);
$statement->bind_param("ii",$start,$limit);
$statement->execute();
$statement->store_result();
$numrows = $statement->num_rows();
$statement->bind_result($id,$note,$td_date,$td_time);

if($numrows > 0){
?>

<table class="table table-hover">
<thead>
<tr>
<th>Action</th>
<th>Date</th>
<th>Time</th>
<th></th>
</tr>
</thead>
<tbody>
<?php
while ($statement->fetch()){
echo "<tr>";
echo"<td> ". $note ."</td>";
echo "<td>". $td_date ."</td>";
echo "<td>". $td_time ."</td>";
echo"<td><a href='to_do.php?del=$id' style='text-align:center'> <span class='glyphicon glyphicon-ok'></span></a></td>";
echo "</tr>";
}

?>

</tbody>
</table>
<ul class="pagination">
<?php
//fetch all the data from database to get number of rows
$query = "SELECT note, td_date, td_time FROM to_do";
$statement = $conn->prepare($query);
$statement->execute();
$statement->store_result();
$rows = $statement->num_rows();
//calculate total page number for the given table in the database
$total = ceil($rows/$limit);

if($total!=1){
if($id>1){
//Go to previous page to show previous 7 items. If its in page 1 then it is inactive
echo "<li><a href='?id=".($id-1)."' class='button'>PREVIOUS LIST</a></li>";
}
if($id!=$total){
////Go to previous page to show next 7 items.
echo "<li><a href='?id=".($id+1)."' class='button'>NEXT LIST</a></li>";
}
}
?>
</ul>
<?php
}else{
echo "<h4 style='color:[HASHTAG]#ff1635[/HASHTAG];'>There is no To-Do to display</h4>";
}
?>

NB: Hakuna kosa lolote linalodisplay kwenye browser kuwa nimekosea sehemu
 
Nadani hiyo $id unaitumia vibaya, ni vigumu kujua bila kuona ni nini. Log value za $id unapoitumia na angalia value yake.
 
Badala ya simba ungetuelezea algo yako ili kujua kama inaendana na simba ulizoandika
 
Nadani hiyo $id unaitumia vibaya, ni vigumu kujua bila kuona ni nini. Log value za $id unapoitumia na angalia value yake.
Kama ilivyo hapo kwenye code nimeweka iwe inaincrement kwa 1 kama unakwenda next au unadecrement kwa 1 kama unakwenda previous sasa cha ajabu kwenye log value inaincrement kwa 12 ndo kitu sikielewi hapo
 
Kama ilivyo hapo kwenye code nimeweka iwe inaincrement kwa 1 kama unakwenda next au unadecrement kwa 1 kama unakwenda previous sasa cha ajabu kwenye log value inaincrement kwa 12 ndo kitu sikielewi hapo
Lakini at the same time unatumia $ id kwa ajili ya value ya id kutoka kwenye database, unajichanganya hapo nadhani. Log values uangalie inabadilika vipi program inaporun.
 
Unamaanisha algo ya pagination au!?
Yes. Kuna njia tofauti za kufanya same thing. Ungeelezea Pagination yako logically ilitaikiwa ifanye vipi kazi then ni rahisi kusema wapi pa kurekebisha!
 
Back
Top Bottom