ipo ovyo sanakwanini mkuu?
Jibu maswali upate msaadaNaomba wakuu mnisaidie,nimeweka laini ya airtel kwenye simu na haisomi ule mnara wa internet,nifanye nini ili niweze kutumia internet yake.
Ok. Jaribu kufungua settings halafu nenda kwenye WIRELESS AND NETWORK then MOBILE NETWORK halafu touch menu utakutana na NEW APN iselect.Natumia galaxy j2
vodacom ni nzuri sema wapo expensiveWe unatumia ipi ambayo iko poa?
Nashukuru mkuu ngoja nijaribuOk. Jaribu kufungua settings halafu nenda kwenye WIRELESS AND NETWORK then MOBILE NETWORK halafu touch menu utakutana na NEW APN iselect.
Baada ya hapo jaza hizi sehemu
APN NAME : JAZA CHOCHOTE
APN TYPE : INTERNET
AUTHENTICATION : NONE
halafu save then iselect. jaribu kuwasha data itakubali. Ikigoma basi kutakuwa na tatizo lingine zaidi ya ulichopost.
Aisee leo ndio umenifungua akili. Hilo tatizo niliwahi kukumbana nalo kitambo kidogo kupitia line ya tigo.kama umejaribu settings imeshindikana. inawezekana isp wamekufungia internet. hii inatokea iwapo umeaccess website zenye madhara kama torrents au porn sites. vilevile utumiaji wa services kama za proxy, pdproxy na nyingine kama hzo. isp wanafunga internet. jaribu kupiga namba 100 uwaeleze, kama ni wao wamefunga watakufungulia.
.
.
.
kujua kama isp wamekufungia. kama unatumia airtel na haisomi mnara wa internet. weka laini nyingine tofaut na yako ya airtel. ikisoma mnara ujue kua namba yako ndo imefungiwa