Nimeblock Whatsapp ila bado napata SMS zake

Scorpio Me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
6,119
7,933
Jamani kuna mtu nlimblock whatsapp ila nashangaa text zake zinaingia bado huku inbox ya whatsapp...

Hivi kuna njia ambayo mtu anaweza ji unblock...

And huyo mtu hata siko nae karibu kusema ana access na simu yangu labda...

This is weirdoooo meogopa hadi basi,ni uganga au janja ya IT tu...
 
Unatumia simu gani mkuu
 
Utakuwa umekosea kitu. Umeblock au umemute? Ukiingia settings->account->privacy-> blocked contacts, unamuona huyo mtu kwenye list?
Hauna namba tofauti za huyo mtu kwenye simu yako? Umeblock zote?
 
namuona
 
b03c46cfe542610e15df191b51819c3f.jpg

katika pita pita zangu google nkakuta hii kitu...au kafanya hivi???
 
Back
Top Bottom