Kiongoz je hiyo 64 itakuwa ni nini?hio ni memory card ya kutumia kwenye vifaa kama simu, camera, tablet etc
ni series ya EVO hivyo ni memory card nzuri sana,
hio alama ya U yenye 1 katikati maana yake ni uhs 1 inamaanisha ultra high speed, hizo memory card zinakuwa na speed kubwa ni equivalent na class 10 memory card.
64 ni ukubwa wake mkuu, hizo zinakuwa ni gigabyte kwa kifupi wanaitwa GB (64 GB)Kiongoz je hiyo 64 itakuwa ni nini?
duh nilidhani upo nayoNatamani niwe nayo tokana na sifa zake ulizotoa .... cjajua zapatikana wapi na bei gani pia