Msaada lumia 532 touchscreen hai respond

Aswel

Senior Member
May 1, 2012
114
34
Habari za kazi wakuu, naomba msaada nifanyeje simu yangu ya lumia 532 touchscreen yake inasumbua kwa mfano back, home na search hazifanyi kazi kabisa pia upande wa meseji herufi za juu yaan qwertyuiop hazifanyi kazi pia. Nimejaribu kufanya factory reset lakin hakuna kitu, naombeni ujuzi wa ziada nifanyeje? Au ndio imeshakufa? Kama imekufa ni sim gani tena nzuri naweza nunua, kwa kuwa lumia nilizipenda lakin kwa style hii basi tena. Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom