the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,102
- 353
Simu haiwezi kucheza baadhi ya video na picha kwenye simu. YouTube nikienda hakuna shida. Naomba anaeweza kusaidia kutatua tatizo.
Install VLCSimu haiwezi kucheza baadhi ya video na picha kwenye simu. YouTube nikienda hakuna shida. Naomba anaeweza kusaidia kutatua tatizo.
Asante mkuu, shida ni memory card.Install VLC