Spam za mwanaume zinaenda wapi

Barakaeli174

Senior Member
Aug 2, 2015
171
142
Wana Jf naomba mnijuze,

Hivi mwanaume anapo fanya tendo la ndoa na mke akiwa hayupo kwenye siku za kupata ujauzito spam huwa zinaenda wapi, hufanya kazi gani huko zinakoenda na zina kaa kwa muda gani. Wakati mwingine nikikojoa na naendelea kukaa ndani ya papuchi kumalizia hadi tone la mwisho wakati mwingine nasikia kama mboo yangu inanyonywa hivi yani kama inavutwa kama mtoto anavyo nyonya titi hii huwa ni nini na inatokana na nini au ni mwanamke mwenyewe ndo huwa anafanya hivi kwa madhumuni yapi (naomba msinambie nimuulize ninayefanya naye mapenzi tafafhali).

Kwanini wakati mwingine ukishakojoa tu hataki tena ukae juu yake umalizie kutoa hadi tone la mwisho la spam anakuondoa haraka, je sababu inaweza ikawa labda anaogopa kuchafua shuka maana yatamwagika mengi au huwa kuna nini, ila wengine atakutaka usiondoke haraka hadi atakapokuambia haya ondoka sasa.

Naomba mnijuze kwa hili. (Kama nilivyosema naomba msinambie nimuulize ninaye kuwa naye tafadhali).
 
Wana Jf naomba mnijuze,

Hivi mwanaume anapo fanya tendo la ndoa na mke akiwa hayupo kwenye siku za kupata ujauzito spam huwa zinaenda wapi, hufanya kazi gani huko zinakoenda na zina kaa kwa muda gani. Wakati mwingine nikikojoa na naendelea kukaa ndani ya papuchi kumalizia hadi tone la mwisho wakati mwingine nasikia kama **** yangu inanyonywa hivi yani kama inavutwa kama mtoto anavyo nyonya titi hii huwa ni nini na inatokana na nini au ni mwanamke mwenyewe ndo huwa anafanya hivi kwa madhumuni yapi (naomba msinambie nimuulize ninayefanya naye mapenzi tafafhali).

Kwanini wakati mwingine ukishakojoa tu hataki tena ukae juu yake umalizie kutoa hadi tone la mwisho la spam anakuondoa haraka, je sababu inaweza ikawa labda anaogopa kuchafua shuka maana yatamwagika mengi au huwa kuna nini, ila wengine atakutaka usiondoke haraka hadi atakapokuambia haya ondoka sasa.

Naomba mnijuze kwa hili. (Kama nilivyosema naomba msinambie nimuulize ninaye kuwa naye tafadhali).
dogo umepotea njia, hili jukwaa ulilopost si mahala pake
 
Hahahahaha BASHITE ameingia jf. Hili ni jukwa la technology, wew unaleta sperm zako hapa. Nenda doctor jf.
 
Sperms zote zinazoingia ndani hua zinatoka mkuu!
Ata akiwa kwenye kipindi cha kubeba mimba!!! Ni moja tu kati ya millions ndo itaingia kwenye yai na zingine zinatoka. Inaweza chukua ata wiki nzima zimalizike kutoka kidogokidogo kama uchafu ukeni. Ko mda mwingine ukiona viujiuji usishangae, sio kua mwanamke ni mchafu.
Wanawake wengine hua wanajisafisha kwa kuingiza kidole kuzitoa ila haishauriwi kufanya hivyo. Wengine hupendelea kuvaa pantylines ili zikitoka zisichafue chupi.

Kuhusu kunyonywa ukiwa bado ndani ni mwanamke ndo anafanya hivyo. Kama ambavyo unaweza kuchezesha dudu bila kuigusa na wanawake pia wanaweza kunyonya dudu ikiwa ndani... Mda mwingine anakua bado anataka muendelee, ko anakudindisha kwa kufanya hivyo.
 
IMG_20170318_222341_814.JPG
 
Asante sana tena sana kwa elimu hiyo sasa nimeelewa vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom