Nilikua nataka kujua kama kuna distributors wowote hapa Tz wanaouza embedded system equipments kama Arduino boards,complex Sensors,breadboards etc etc.inabore sana unataka kufanya ka project...
Habar za shughuli wakui,poleni na mashughuli katika kujipatia riziki,binafsi ninaomba msaada katika hili,napata tabu sana pale nisipotaka namba flani initafute kimawasiliano,hili lipoje kwenye...
Xiaomi Redmi Note 4 - Full phone specifications
CHIEF MKWAWA na wajuzi wengine, naomba kueleweshwa vizuri kuhusu ubora wa simu hizi. Naona wanatengeneza specs kubwa kwa bei ya chini sana[emoji14]...
Kwa kila post, unayoweka hewani, wengine wanaboost au kupromote post au matangazo yao, tangazo likiwa hewani watu wengi wana like post lakini sio page na wamiliki wa page wanakuwa wanatamani mtu...
Habari wandugu! Kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta digital thermostart kwa ajili incubators kwa ambaye anazo au anajua sehemu naweza pata naomba msaada tafadhali.
Kila ninapoiwasha computer yangu inaniletea neno enter current password. Iv majuz nilimpa rafik yangu atumie ndo amenirudishia ina ili tatizo cjui nifanyeje niweze kuliondoa najaribu kubadilisha...
Kama kawaida yangu huwa naunga kile kifurushi cha GB 2.8 kwa 2000 kila siku kwa mtandao wa Halotel, Ila leo cha kushangaza ni kwamba kwa sasa nitaweza kupata gb 1.5,
Maumivu nayoyapata ni makali...
Habari wakuu,
Nina router ya zamani ya ZTE ZXV10 W300 nataka iwe ina assign IP address (as DHCP Server) kwenye connected devices/PCs. Kisha PC1 igawe internet kwenye device/PC nyingine. Nafanya...
Wakuu vipi Halotel kuanzia Vifurushi na Kasi...
Mi Niko Dar naweza kusema Vodacom wana Kasi kuliko Mitandao mingine tukiacha Smile
Sijajua mlioko Koromije huko Mitandao gani wenye Kasi?
Wataalamu
Jana nimepigwa mb kama 1000 nikiwa nimezima simu,mtandao ni halotel anyway nilishakata shauri kurudi airtel liwalo na liwe
Ila najiuliza,wanaibaje?au ni kwamba kuna mtu labda tecnicians...
Et jamani kwa anae fahamu anieleweshe zaidi apo, nmejaribu kufungua account y mtu ya Instagram nikiwa nimelog in sioni chochot wananiambia ivi,, kweny pic apo BT nkiwa sijalog in naona naweza...
Hii makala ni maboresho ya makala ya iliyopita, soma tolea la kwanza
Kwa kila post, unayoweka hewani, wengine wanaboost au kupromote post au matangazo yao, tangazo likiwa hewani watu wengi wana...
Wakuu nna kimeo changu tecno phantom z mini ilikuwa inafanya kazi vizuri na internet. Sasa juzi hapa baadhi ya apps zinagoma kuconnect kwenye internet kama gmail na google browser. Whatsapp na...
Habarini za mchana ndugu zangu.,
Naomba kueleweshwa kwa mwenye kujua tofauti kati ya (Mac book Air na Mac book Pro)(apple) maana kunajamaa anataka tufanye biashara na mimi sijui ipi nzuri na...
Salamu kamili Wanajukwaa nilihitaji kupewa msaada juu ya Jambo hili,baada ya Simu yangu kupokea Android Nougat (7.0) nimekutana na hii " knox security for Malware" sasa ningeomba kujuzwa je hii...
Wakuu, kuna dogo ananisumbua juu ya simu yake. Ni Samsung Galaxy Note 3 ila anadai ni COPY yaani siyo original. Bei yake inanishawishi niichukue ( 50,000 ). Anaonekana ana shida kwakweli. Anataka...
Wakuu,naomba msaada wa njia ya kuipata laptop iliyoibiwa nyumbani pamoja na vitu vingine kikiwemo kingamuzi cha startimes.
Taarifa ya tukio la wizi lipo polisi lakini haonyeshi dalili ya...