Salamu kamili Wanajukwaa nilihitaji kupewa msaada juu ya Jambo hili,baada ya Simu yangu kupokea Android Nougat (7.0) nimekutana na hii " knox security for Malware" sasa ningeomba kujuzwa je hii ina kazi kama Antivirus au? Maana nimebaki Njia panda.
Nashukuru sana mkuu Joblee vipi kuhusu kinga na Tiba dhidi ya Virus wapatikanao kwa njia ya mtandao na upokeaji wa Mafaili au Taarifa kutoka kifaa kingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.