Wizi wa MB,makampuni ya simu yanaibaje?

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,012
Wataalamu
Jana nimepigwa mb kama 1000 nikiwa nimezima simu,mtandao ni halotel anyway nilishakata shauri kurudi airtel liwalo na liwe
Ila najiuliza,wanaibaje?au ni kwamba kuna mtu labda tecnicians wao wanakuwa wamemuunga mnatumia naye au?
Naomba tu mnijuze niongeze maarifa jinsi hawa wawekezaji mabashite wanavyotupiga.
 
Angalia matumizi yako mbona kila kitu kipo wazi kwenye simu yako mimi nilikuwa kama wewe but baada ya kuweka matumizi na kuangalia nilikuwa mpole
 
Back
Top Bottom