deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Habari wakuu,
Nina router ya zamani ya ZTE ZXV10 W300 nataka iwe ina assign IP address (as DHCP Server) kwenye connected devices/PCs. Kisha PC1 igawe internet kwenye device/PC nyingine. Nafanya hivi sababu port ya internet ya router ni RJ11 na mimi natumia 3g modem. Nimeweka senario hapo chini.
PC1: nime connect LAN kwenye router, kisha na connect internet natumia USB 3G modem (ina windows server 2012 na DNS server)
ZTE Router: inagawa IP address kwenye LAN (DHCP server)
Sasa nataka IP zinatolewa na Router kisha internet inatolewa na PC1. Naomba msaada wenu wataalam.