Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 246
Wakuu, kuna dogo ananisumbua juu ya simu yake. Ni Samsung Galaxy Note 3 ila anadai ni COPY yaani siyo original. Bei yake inanishawishi niichukue ( 50,000 ). Anaonekana ana shida kwakweli. Anataka nimpe hela mwisho wa mwezi huu. Kwa kweli kasimu ni kazuri tena kana good condition ila napata tabu kwenye vitu COPY. Wenye uzoefu nishauri hii simu haitanizingua kweli?. Je hizi copy za note 3 hazinaga majanga?? isijekula kwangu japo kaela ni kadogo