BAOBAO
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 1,874
- 553
Wakuu,naomba msaada wa njia ya kuipata laptop iliyoibiwa nyumbani pamoja na vitu vingine kikiwemo kingamuzi cha startimes.
Taarifa ya tukio la wizi lipo polisi lakini haonyeshi dalili ya kupatikana laptop na vitu vingine.
Kuhusu king'amuzi cha Star times wamesema wao hawana uwezo wa kutambua nani atakitumia kwenye mfumo wao ! Imenishangaza na kuwachukia kwa majibu hayo.
Naomba ushauri kwa sababu laptop ilikuwa na taarifu muhimu sana za kumbukumbu kwa mujibu kazi nifanyazo.
Asanteni kwa ushirikiano