Haya njooni hapa watu mliokua mmelipwa na Halotel enzi zile mlete mrejesho

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Wakuu vipi Halotel kuanzia Vifurushi na Kasi...

Mi Niko Dar naweza kusema Vodacom wana Kasi kuliko Mitandao mingine tukiacha Smile

Sijajua mlioko Koromije huko Mitandao gani wenye Kasi?
 
Back
Top Bottom