Shori
Senior Member
- Nov 10, 2011
- 146
- 25
Hii makala ni maboresho ya makala ya iliyopita, soma tolea la kwanza
Kwa kila post, unayoweka hewani, wengine wanaboost au kupromote post au matangazo yao, tangazo likiwa hewani watu wengi wana like post lakini sio page na wamiliki wa page wanakuwa wanatamani mtu alio like post a like na ukurasa pia.
Watu katika post yako nawagawa makundi yafuatayo:
a) Watu watakao like page na kutumia moja kati ya hizi alama katika post "like, love,laugh, wow, sad, angry "
(kwa kifupi hilo ni kundi linalo react katika post ya na ukurasa pia)
b) Watu watakao Like Page pekee
c) Watu watakao react katika post pekee (watakao tumia alama ya like, love, laugh, wow, sad na angry katika post)
d) Watu wanaosoma na kuondoka bila kulike au kushea
e) Watu wanao shea n.k
Hapa nakupa njia ya kufanya mtu aliye react (aliye bonyeza "like, love,laugh, wow, sad, angry " ) katika post yako aweze kulike pia page yako, hivyo kumfanya mtu awe kundi la kwanza hapo na page yako kuongeza watu/Likes.
Fanya yafuatayo:
1. Nenda katika Post yako ambayo watu wame_react,
2. Fungua post kama vile unataka kuisoma yote hadi mwisho
3. Angalia sehemu inayo onesha idadi ya likes na watu walio like post yako, mfano: (Juma Hassan and 89 others)
3. Bonyeza mandishi yanayo onesha ya watu walio likes post yako; mfano bonyeza: (Juma Hassan and 89 Likes)
4. Utaona orodha ya watu waliolike post yako, mbele ya kila jina Utaona moja ya maneno yafuatayo:
i) Liked, Kama tayari amekwisha like ukurasa wako.
ii) Invited, Kama ulikwisha mu_invite lakini haja like ukurasa wako.
iii) Invite, kama haja_like wala huja mu_invite.
5. Bonyeza invite.
6. Kama walio like post ni wengi, bonyeza more/next ili kuendelea upate List ya majina yaliyobaki.
Kisha angalia kama post yako kuna watu wame react kwa kutumia " love,laugh, wow, sad, angry " ili uweze kuwa invite pia
Unaweza ku_invite watu wengi kwa mara ya kwanza lakini kama wengi hawata like wengi, utazuiliwa hadi siku inayofuata na idadi ya watu itapunguzwa kwa sababu za usalama. Ukiletewa meseji kuzuiliwa usilamishe. Subiri baada ya masaa 24 AU kama ina ongozwa na mtu zaidi ya mmoja mwambie admin mwingine a invite.
ILI UWEZE KUITUMIA NJIA HII
Awali njia hii ilikuwa inatumika kupitia kompyuta pekee. Kwa sasa unaweza kuitumia na kupitia simu pia kwa kutumia application ya Facebook.
Fuata utaratibu huu:
a) Uwe na Computer
Ukiwa na Computer utapitia njia hizo hapo juu na kuanza ku_invite watu walio like au ku react kwa njia nyingine katika post yako.
b) Uwe na application ya Facebook au Firefox au nyingine ambayo itaweza kudisplay sehemu ya kuinvite kama unatumia simu.
Fuata utaratibu hapo juu
NOTE: Opera min haifanyi kazi hapa
MATOKEO:
Njia hii itakupa matokeo mazuri zaidi kama utakuwa na likes nyingi katika post yako, kwa sababu si wote utakao invite watalike ukurasa wako. Kadri unavyokuwa na Likes nyingi katika ukurasa na post ndivyo post na page yako itaongeza kuonekana na watu kujiunga nayo.
* Invite mtu mmoja mmoja ikifikia limit acha utainvite siku nyingine
Kumbuka Kulike Ukurasa Wangu Shori MN kwa Makala Zingine Nzuri.
KARIBU SANA.

- Usisahau kutufuatilia Facebook: Shori MN
- WhatsApp: 0682 937 214
- Tovuti: shorisuccesslife.com/blog