mni
Senior Member
- Sep 30, 2016
- 149
- 102
Kila ninapoiwasha computer yangu inaniletea neno enter current password. Iv majuz nilimpa rafik yangu atumie ndo amenirudishia ina ili tatizo cjui nifanyeje niweze kuliondoa najaribu kubadilisha window hata kukubal kuweka boot option haitak naomben msaada nifanyeje?
