WhatsApp msaada tafadhali...

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Naomba kupata WhasApp itakayokubali kuwa installed kwenye PC, najaribu ku-download inagoma. Mwenye hiyo Setup naomba msaada.
 
Download kwanza android emulators kwenye Pc yako kama Andy ndipo u install android apps kwenye Pc yako.
 
Download kwanza android emulators kwenye Pc yako kama Andy ndipo u install android apps kwenye Pc yako.
nime download na nimeeingia playstore yake nakuta whatsap naambia kwa ajili ya mobile version lakin pia nikapata ingine naambiwa ni set payment method na ina sevven day trial
 
Back
Top Bottom