Kwa wanaoifahamu vizuri Instagram.

Kwa wanaoifahamu vizuri Instagram.

Black7

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
367
Reaction score
116
Et jamani kwa anae fahamu anieleweshe zaidi apo, nmejaribu kufungua account y mtu ya Instagram nikiwa nimelog in sioni chochot wananiambia ivi,, kweny pic apo BT nkiwa sijalog in naona naweza kuona.. Ni kitu gani kinachosababish jambo hli eb fanya km unanijuza kwa wataalam
Screenshot_2017-03-19-22-35-18-1.png
 
Back
Top Bottom