danifordcharse
Member
- Jan 11, 2017
- 24
- 3
Nataka kujifunza kutoa virus kwenye Android bila kutumia computer inawezeka? NAombeni msaada wenu
Bashite wewePakaa colgate kwnye terminals... then iwashe...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bashite wewe
HahahahaahahPakaa colgate kwnye terminals... then iwashe...
Dawa ya ukakika ni kuweka os mpya mkuu basi.Nataka kujifunza kutoa virus kwenye Android bila kutumia computer inawezeka? NAombeni msaada wenu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Bashite wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwel wwe bashitePakaa colgate kwnye terminals... then iwashe...
Os. Ndo nn? KakaDawa ya ukakika ni kuweka os mpya mkuu basi.
Operation system kwa kirefuOs. Ndo nn? Kaka