Xiaomi Redmi Note 4 - Full phone specifications

mchushi

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
216
Reaction score
98
Xiaomi Redmi Note 4 - Full phone specifications

CHIEF MKWAWA na wajuzi wengine, naomba kueleweshwa vizuri kuhusu ubora wa simu hizi. Naona wanatengeneza specs kubwa kwa bei ya chini sana naona kama wamekaa kitecno tecno hivi??? Au ni kwamba chipset za MTK ni cheap sana? Au huwa hazina performance nzuri compared to others au tatizo nini? Mfano hiyo inaenda kwa price ya 135$USD. I think this is more than cheap for the specs in the device......smh
 
Mkuu xiaomi simu zao zote ni rahisi hata ikiwa na snapdragon, version za mediatek ni za china nje ya china wanatumia snapdragon, muda si mrefu watatoa version ya snapdragon kwa hio redmi note 4.

Kuhusu quality yao ni nzuri kushinda Tecno, ukimtoa Huawei ambae tumemzoea xiomi, meizu na oppo wanajitahidi sana kutengeneza vifaa vizuri na material wanayotumia ya quality ya juu, sema tu wanazidiwa uwezo na experience na makampuni makubwa

Mfano xiaomi redmi note 3 (ambayo mimi kwa muono wangu ndio simu bora zaidi duniani ukiangalia kwa unacholipa na unachopata) ina mapungufu haya
1. camera mbaya
2. battery inakaa sana na charge lakini wanatumia battery kubwa sana (hakuna optimization). kuanzia 4000mah kupanda
3. user interface unaweza usiipende (miui) ila unaweza kuibadili na mods mbali mbali
4. baadhi ya vifaa vinatia mashaka, mfano simu zao haziji na gorilla glass, vioo vyao sijui wamevitolea wapi
5. kuibiwa data zako na serikali ya china

hivyo kiufupi ni simu nzuri na kama unatoa dola 150 (bei ya redmi note 3) na unapata simu yenye nguvu kushinda flagship za mwaka jana huwezi lalamika sana.
 
Asante sana Chief nimejifunza kitu hapa.
 
Chief-Mkwawa, unaizungumziaje Galaxy J5 ya 2016 kuanzia ubora wa betri, performance yake, na mambo mengine.
mkuu narecomend zaidi j7 2016 sababu soc yake wamei upgrade hadi snapdragon 617

j5 2016 ni simu nzuri ila soc yake snapdragon 410 ni ya muda kidogo hawajaiupgrade kwenye j5 2016. kama matumizi yako ni madogo haina neno ila kama unatumia vitu vingi utafeel speed sio kubwa sana.

mambo mengine kama camera, battery, display (super amoled), ram, storage yapo vizuri zana.
 
Asante sana Kiongozi.
 
Chief-Mkwawa unaionaje na Microsoft Lumia 650 maana posta wanakaza kwa laki tano
 
mkuu mi siwezi toa laki 5 kununua simu yenye snapdragon 210. kwa lumia zilivyoshuka bei budget hio ni bora ukomae utafute flagship za nyuma kama lumia 930, 1520 au ukikosa kabisa hata lumia 830.
Vipi mkuu unaizungumziaje Galaxy A3?
Asante.
 
Mkuu xiaomi simu zao zote ni rahisi hata ikiwa na snapdragon, version za mediatek ni za china nje ya china wanatumia snapdragon, muda si mrefu watatoa version ya snapdragon kwa hio redmi note 4.

Kuhusu quality yao ni nzuri kushinda Tecno, ukimtoa Huawei ambae tumemzoea xiomi, meizu na oppo wanajitahidi sana kutengeneza vifaa vizuri na material wanayotumia ya quality ya juu, sema tu wanazidiwa uwezo na experience na makampuni makubwa

Mfano xiaomi redmi note 3 (ambayo mimi kwa muono wangu ndio simu bora zaidi duniani ukiangalia kwa unacholipa na unachopata) ina mapungufu haya
1. camera mbaya
2. battery inakaa sana na charge lakini wanatumia battery kubwa sana (hakuna optimization). kuanzia 4000mah kupanda
3. user interface unaweza usiipende (miui) ila unaweza kuibadili na mods mbali mbali
4. baadhi ya vifaa vinatia mashaka, mfano simu zao haziji na gorilla glass, vioo vyao sijui wamevitolea wapi
5. kuibiwa data zako na serikali ya china

hivyo kiufupi ni simu nzuri na kama unatoa dola 150 (bei ya redmi note 3) na unapata simu yenye nguvu kushinda flagship za mwaka jana huwezi lalamika sana.
Nasikia hii kampuni ndio inafanya vyema china kuliko hata samsung na apple kwenye smart phone. Nimeipenda hiyo angalizo namba 5
 
mbovu compare na kina samsung, lg etc ila ni nzuri compare na tecno, itel etc. kama camera unaijali sana tafuta galaxy j7 ya 2016
unaifananishaje na Tecno C9 ipi ipo juu kwenye camera, ila naona wengine wote hawafikii uwezo wa Sumsung na Iphone kwenye camera hasa kupiga picha za haraka. mfano unapiga picha wanaliadha au mbio za magari
 
Mkuu xiaomi simu zao zote ni rahisi hata ikiwa na snapdragon, version za mediatek ni za china nje ya china wanatumia snapdragon, muda si mrefu watatoa version ya snapdragon kwa hio redmi note 4.

Kuhusu quality yao ni nzuri kushinda Tecno, ukimtoa Huawei ambae tumemzoea xiomi, meizu na oppo wanajitahidi sana kutengeneza vifaa vizuri na material wanayotumia ya quality ya juu, sema tu wanazidiwa uwezo na experience na makampuni makubwa

Mfano xiaomi redmi note 3 (ambayo mimi kwa muono wangu ndio simu bora zaidi duniani ukiangalia kwa unacholipa na unachopata) ina mapungufu haya
1. camera mbaya
2. battery inakaa sana na charge lakini wanatumia battery kubwa sana (hakuna optimization). kuanzia 4000mah kupanda
3. user interface unaweza usiipende (miui) ila unaweza kuibadili na mods mbali mbali
4. baadhi ya vifaa vinatia mashaka, mfano simu zao haziji na gorilla glass, vioo vyao sijui wamevitolea wapi
5. kuibiwa data zako na serikali ya china

hivyo kiufupi ni simu nzuri na kama unatoa dola 150 (bei ya redmi note 3) na unapata simu yenye nguvu kushinda flagship za mwaka jana huwezi lalamika sana.

Ni nzuri sana. Ninayo mwaka wa pili, excellent
 
Vipi mkuu unaizungumziaje Galaxy A3?
Asante.
Gotch you....ndio kasimu unakotumia kumbe!!hongera mkuu!!A series nzuri ila jitahidi utumie walau A5 maana A3 upo mbaliii saana!naajua ukifka A5 mwaka utajikongoja kufika A9
 
Vipi mkuu unaizungumziaje Galaxy A3?
Asante.

kwanza unatakiwa ujue kuna A series na J series, Specs zinakaribiana kufanana lakini A series zinauzwa bei ghali kuliko J series na muonekano wa A series ni mzuri zaidi. hivyo kama hujali muonekano j series nunua na kama unapenda simu yenye muonekano mzuri nunua A series.

kwenye A3 kuna matoleo mawili A3 ya 2015 na A3 ya 2016. hio ya 2016 ndio nzuri zaidi, kujua ni ya mwaka gani nenda setting halafu about ikiwa ni A300 ni ya 2015 na ikiwa ni A310 ni ya 2016.

A3 ni simu ya watu wanaopenda simu zisizo na maumbo makubwa, kioo chake kinakuwa kidogo inch 4.5 mpaka inch 4.7, perfomance yake ni nzuri, camera sio mbaya kwa bei yake ila weakness yake kubwa ni battery ndogo. pia version ya 2015 ipo ya 1gb ram, ambayo kwa matumizi ya sasa inaweza ikawa haitoshi.
 
unaifananishaje na Tecno C9 ipi ipo juu kwenye camera, ila naona wengine wote hawafikii uwezo wa Sumsung na Iphone kwenye camera hasa kupiga picha za haraka. mfano unapiga picha wanaliadha au mbio za magari
kwa picha za kukimbia still nokia 808 na lumia 1020 hazina mpinzani sababu zina flash za xenon ambazo husimamisha movement.

XENON-FLASH-TEST.jpg

angalia hio picha juu ni flash ya kawaida na chini ni xenon, hata feni likizunguka xenon flash ina uwezo wa kulisimamisha na kuona details za upanga wa feni
 
Nasikia hii kampuni ndio inafanya vyema china kuliko hata samsung na apple kwenye smart phone. Nimeipenda hiyo angalizo namba 5
sio simu tu jamaa wana tv, laptop, smart band, baiskeli na vitu kibao. baiskeli zao nzuri sana unakunja tu na tv zao kioo kipo kivyake na port pamoja na spika vipo kivyake, niliipenda sana hii idea.

ila hivi karibuni honor series za huawei ndio zinakimbiza sana kwa mauzo china wakifuatiwa na oppo then xiaomi ni wa tatu
 
kwa picha za kukimbia still nokia 808 na lumia 1020 hazina mpinzani sababu zina flash za xenon ambazo husimamisha movement.

XENON-FLASH-TEST.jpg

angalia hio picha juu ni flash ya kawaida na chini ni xenon, hata feni likizunguka xenon flash ina uwezo wa kulisimamisha na kuona details za upanga wa feni
hii nimeikubali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom