Naombeni msaada kujua tofauti ya Mac book Air na Mac book Pro

sanjomnyama

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
261
160
Habarini za mchana ndugu zangu.,
Naomba kueleweshwa kwa mwenye kujua tofauti kati ya (Mac book Air na Mac book Pro)(apple) maana kunajamaa anataka tufanye biashara na mimi sijui ipi nzuri na inayoendana na wakati.Ahsanteni
 
http://www.trustedreviews.com/opinions/macbook-pro-vs-macbook-air

Kwa urahisi tu wa jibu, MacBook Air ni toleo la zamani kidogo/la nyuma zaidi wakati MacBook Pro ndo toleo jipya zaidi/la kisasa.

Apple wamesitisha updates kwa MacBook Air huku wakiendelea kuzingatia updates hizo kwa MacBook Pro.

MacBook Pro ina nguvu zaidi (katika nyanja ya "processing power") ukilinganisha na Air.

Unaweza soma zaidi kwenye hiyo link ya TrustedReviews.
 
Back
Top Bottom