Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
Wakuu nna kimeo changu tecno phantom z mini ilikuwa inafanya kazi vizuri na internet. Sasa juzi hapa baadhi ya apps zinagoma kuconnect kwenye internet kama gmail na google browser. Whatsapp na telegram inaconnect vizuri. Je nifanyeje nikwamuke??