mackie
Senior Member
- Jan 26, 2017
- 141
- 197
HABARI wana jamvi humu..?
Ebana mimi nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa miaka mingi japo sikubahatika kusomea mambo ya kumputer ila nilisomea mambo mengine ..lakini nimefanya utafiti binafsi nikagundua kuwa wale wote wanaosomea computer engeneering,Information Technology(IT),computer science kwa ujumla na software engeering na kozi zote zinazohusiana na maswala hayo wanasoma njia na jinsi vifaaa hivyo vinavyofanya kazi ,kama ni komputer wanafundishwa how computer works ,kama ni simu wanafundishwa how telephone (android system works) ,wanasoma kuanzia main route mpka sub route ya njia za electronic lakini sijawah muona fundi yoyote anayetengeneza computer ...
kwanini wanasoma kuzisoma njia za computer tu kiasi kwamba kama imeharibika yeye anasoma njia mule ndani halafu anaunganisha njia nyingine ili mradi ipeleke mawasiliano sehemu flan either from processor to display n.k.
sasa huwa najiuliza ni akina nani wanatengeneza computer...??
najua ni makampuni ya watu sawa..lakini sijawahi sikia duniani kuwa kuna chuo kinafundisha how to make computer or phones...
Kwanini hakuna chuo kinachofundisha kutengeneza simu wala computer but vinafundisha how those things function...
yani swali hili linaniumiza kichwa..yani elimu zao zinaishia kusoma njia za computer na simu how they work but they are not taught how to make those things...
yani kupitia utafiti binafsi bila kushirikisha mtu nimekuja na kuanza kuamini ule usemi wa kuwa ni kweli hakuna mwanadamu hata mmoja anayehusika kutengeneza hivo vitu bali kuna viumbe wanaoitwa Alliens .Hao ndo wanatengeneza na kisha kumruhusu mwanadamu amalizie assembling .Na nikaanza kupata majibu kuwa huenda kweli kazi ya mwanadamu ni ASSEMBLING ya vifaaaa vinavyotengenezwa na kujua njia jinsi inavyofanya kazi ila sio kutengeneza hivo vifaaa...
walio na uelewa na hii kitu naomba mchango wenu pliz kama kweli mwanadamu anahusika na assembling tu na sio kutengeneza...wakati mwingine nasikia kuna mashine zinazotengeneza hivo vifaaa ...sijui kmaa ni kweli...
Naomba kujua zaidi...