Msaada wa kuunganisha internet kwenye TCL tv

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,692
Nina imani hili jamvi limebeba kila aina ya wataalamu . Nina tv yangu aina ya TCL SMART , nashindwa kuunganisha internet ili niweze kuperuzi vitu mbalimbali .

Naomba msaada wa maelekezo.
 
Create hot sport natoka simu yako , kisha washa TV yako tcl. Remote yako ndio keyboard. Bonyeza menu ya TV yako kisha endelea
 
Back
Top Bottom