Msaada: Namhitaji blog designer wa ukweli

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
17,034
7,590
Nipende kujumuhika nañyi wana jukwaa kupongezana kumaliza mfungo mtakatifu na heri ya Pasaka.

Nina shida ya kupata blog ama namna ya kuanzisha blog, kama yupo anayeweza kunisaidia ntafurahi ili tufanye kazi. Mengine tutaongea zaidi.

Utaweza kunipm ama kunicheki kupitia 0782177775/0753252677
 
Back
Top Bottom