Msaada wenu pls

Spalulu

JF-Expert Member
May 5, 2013
284
146
Habarin waungwana, nna computer yangu aina ya Hp, ilikufa harddisk tukaweka nyingine. Tatito ni kwamba tangu iwekwe hiyo hard disk ingine imekuwa hain sauti. Nimejaribu nimeshindwa. Nimeomba msaada kwa watu nao wameshindwa.
Jingine ni screen brightness ina mwanga mkali sana.Nimejaribu kutafuta namna ya kuadjust brightness nimeshindwa, siku zote huwa najua naipata kwenye betri, lkn kwa sasa siioni. Nafanyaje? Msaada wenu wajameni.
La mwisho ni kuhusu simu yangu ni Huawei y 330, ina internal storage device ya 4gb, nikanunua external storage device ili baadhi ya vitu nipunguzie huko, cha ajabu simu inaonesha kupokea new SD, lkn siwezi hamisha files zangu huko. Tatizo ni nini? Halafu kuna ulazima wowote wa kufanya settings mobile data usage? Madhara yake na faida zake ni yepi? Asanteni
 
Back
Top Bottom