Naomba msaada Samsung 6 yangu imeibiwa

muheza2007

JF-Expert Member
Mar 19, 2010
483
771
Naomba msaada. Samsung 6 yangu imeibiwa. Nikiipiga inaita.

Bahati mbaya siikumbui IMEI yake.

Nifanyeje wandugu. Police wameniambia niwape IMEI lakini siijui.

Niko na Halotel
 
Naomba msaada. Samsung 6 yangu imeibiwa. Nikiipiga inaita.

Bahati mbaya siikumbui IMEI yake.

Nifanyeje wandugu. Police wameniambia niwape IMEI lakini siijui.

Niko na Halotel
Nenda TCRA Mtambo wao ndio kazi yake lakini pia kutokuwa na receipt ya kununulia simu ama imei watajuaje km ni ya kwako 'But if their kind they can assist'
 
m n navyojua km huna imei wanakuambia uwape namba ya simu iliopo mule au ya mwisho ww kuitumia na baada ya hapo watatumia hio namba kupata imei ya simu
 
Back
Top Bottom