Guys, salaam!!!
Huu mjadala nauleta hapa manake baada ya kupitia michango mbalimbali huko kwa wenzetu ni kama hakuna jibu sahihi la which is which kwahiyo ningependa kupata maoni ya Kibongo!!!
Watalaamu wa fani husika bila shaka wameshaelewa kutokana na title hapo juu!! Kwamba, assume nina website yangu www.mazao.com lakini nataka kutengeneza pacha wake kwa mfano, nyanya.
Hapo lengo langu iwe ama nyanya.mazao.com (subdomain) au mazao.com/nyanya/ (directory)
Forget about SEO stuffs but assume una traffic/visitors wengi. Je, kama mtalaamu ungechagua ipi kwa lengo la ku-handle high traffics? Subdomain or Directory?
Kwavile subdomain unaweza kuitengenezea pacha wake vile vile (directory); kwa mfano nyanya.mazao.com/nyanyachungu; je, hii inatosha kuwa sababu kwamba subdomain ni top over directory?
JF naona inatumia subdirectories... Mkuu Invisible, Maxence Melo & Co, mnaweza ku-share experience yenu as to why subdirectories and not subdomains?