Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,006
- 306
Jamani page yangu ya instagram nikimfollw mtu au akinifollow ina goma yaani ukituma request au ukitumiwa request ukitaka ijibu inagoma sjajua marafiki ndio wamejaa au nifanyeje
Uninstall then install again your instagram appJamani page yangu ya instagram nikimfollw mtu au akinifollow ina goma yaani ukituma request au ukitumiwa request ukitaka ijibu inagoma sjajua marafiki ndio wamejaa au nifanyeje
PoaUninstall then install again your instagram app