Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,535
Hii ni smart Tv aina ya Samsung 6 series
Kwa wale wataalamu naOmba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kuweza kuunganisha internet kwenye tv hii ili niweze kuangalia mpira kwenye hii tv maana naziona program za
-Vimeo
-Live Tv
-Youtube
-Apps
-Browser n.k
Asanten