ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,603
Wakuu sijui ni kwangu tu au na kwenu pia, yani speed ya huu mtandao imekua zaid ya konokono.
Yani hata kufungua picha za instagram ni shida,huko YouTube ndo usiseme mpk nimeamua kushusha quality ya video mpk 144p lakini bado inaload zaid ya dk.10 na buffering za kutosha.Sijui tatizo ni nini wadau hii hali ni kwangu tu au na kwenu?!