Natafuta HTC HD2 & Toshiba Satelite Screen.

Nov 17, 2015
97
23
Habarini wana JF wote. Poleni na majukumu ya kujenga familia na nchi.
Wakuu natafuta HTC HD2 ikiyokufa au nzima. Pia natafuta kioo cha Toshiba Satelite C660 pamoja na keyboard yake.
Nawatakia Pasaka njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom