Je naweza pata google adsence

kabla hujaomba google ads hakikisha una virus hivi:
1. top level domain
2.active atleast 6 months
3. tumia lugha ya malkia
3.Good coded
 
siku hizi wiki tu unaomba google adsense, kama unatumia domain unaweza omba adsense siku hiyo hiyo ulioweka...
 
Back
Top Bottom