Habari mafundi Nina simu yangu Nokia Lumia 525 inatatizo la kuto peleka chaji ILA uki zima sim alafu ukachomeka chaji inawaka ikimanisha inqingiza chaji ila ukisha waka haipeleki chaji na hata uki lamba teminal zinaionyesha zi Moto. Nahitaji msaada kwa atakae weza