Hapo napo panahitaji uelewa mpana na guidence, na hela ya visa, passport nkNakushauri tafuta vyuo vya nje kwa marks hizo utapata scholarship
Ni kweli lakini kumtegemea huyu ndg na Bashite ni risk kubwa sana unaweza poteza directionHapo napo panahitaji uelewa mpana na guidence, na hela ya visa, passport nk
Nimejarib bado sijapataNakushauri tafuta vyuo vya nje kwa marks hizo utapata scholarship
Passport ninayo tayari mkuu so hivyo vingine naweza vipata nikishapata sponsor mkuuHapo napo panahitaji uelewa mpana na guidence, na hela ya visa, passport nk
Da asee ni shida ndugu yanguNi kweli lakini kumtegemea huyu ndg na Bashite ni risk kubwa sana unaweza poteza direction
Watafute UNISERV hawa watakuconnect na vyuo vya mamtoni Uniserv Education | University Applications | Study Abroad wanaofisi hapo posta piaPassport ninayo tayari mkuu so hivyo vingine naweza vipata nikishapata sponsor mkuu
Mkuu hapa nmeenda ila vyuo vyao ni vya UK vingi na havitoi scholarship ukizingatia mimi mtoto Wa kabwela nduguWatafute UNISERV hawa watakuconnect na vyuo vya mamtoni Uniserv Education | University Applications | Study Abroad wanaofisi hapo posta pia
Watafute UNISERV hawa watakuconnect na vyuo vya mamtoni Uniserv Education | University Applications | Study Abroad wanaofisi hapo posta piaPassport ninayo tayari mkuu so hivyo vingine naweza vipata nikishapata sponsor mkuu
Nikipata full scholarship ntashukuru zaidi sina baba, mama yu kijijini da ni majanga ndugu sina uwezo wa kujisomesha yanWatafute UNISERV hawa watakuconnect na vyuo vya mamtoni Uniserv Education | University Applications | Study Abroad wanaofisi hapo posta pia
Mkuu bila shaka wewe mtoto wa kiume..yaani komaa haya maisha hayana formulae sometimes nenda hata kwenye balozi za china, south Korea, USA unaweza pewa jibu positive or negative lakini usijali hapo ni kufight tu... ila hapa bongo wachache sana wanaweza kukuelewaNikipata full scholarship ntashukuru zaidi sina baba, mama yu kijijini da ni majanga ndugu sina uwezo wa kujisomesha yan
Yan mkuu nifatilia Balozi nyingi kwa sasa zikiwemo Italy,France,USA ,Mkuu bila shaka wewe mtoto wa kiume..yaani komaa haya maisha hayana formulae sometimes nenda hata kwenye balozi za china, south Korea, USA unaweza pewa jibu positive or negative lakini usijali hapo ni kufight tu... ila hapa bongo wachache sana wanaweza kukuelewa
Asante kwa ushauriaisee... sasa kama inafaa kasomee ufundi/fani iliyo na ada chini ya hiyo uliyosomea