UTAPELI WA MStz ..

enka mbe

Senior Member
Sep 3, 2016
165
113
Hivi hii app ya MStz ni genuine au ni utapeli tu unaokuja kwa sura ya mficho. Kuingia tu unaombwa kulipa 45,000 elfu. Wanadai eti ina uwezo wa kuhack sms za mtu bila kujua. Nisadieni hapo..
5a2fce90bc02fab9d428aeea02f568fa.jpg
 
Mtapeli wa kwanza ni wewe unaetaka ku hack sms za mwenzako, pili huyo unaetaka kumfukunyua sms zake nae anaweza kuwa tspeli. Hao wenye app wanataka kutumia utapeli wenu kuwatapeli.

Kama hamtapeliani, kwanini uhangaije kutafuta app ya kuhack?
 
Tapeli ameingia mitini mkuu!
 
Hivi hii app ya MStz ni genuine au ni utapeli tu unaokuja kwa sura ya mficho. Kuingia tu unaombwa kulipa 45,000 elfu. Wanadai eti ina uwezo wa kuhack sms za mtu bila kujua. Nisadieni hapo..
5a2fce90bc02fab9d428aeea02f568fa.jpg
hao ni wezi sana na wameshawapiga wengi tu wanapatikana sana facebook
hata humu jf kuna mtu aliwahi kulalamka amepigwa pesa na hao jamaa then hiyo namba yao ikawa haipatikani
 
Back
Top Bottom