Jukwaani tafadhali nawaomba nisaidieni namna ya kuzuia mtu asinipigie kwenye mwito wa simu wa kawaida. Upande wa WhatsApp sina tatizo napo, lakini mwito wa kawaida wa simu sifahamu hatua zinazochukuliwa ili kuzuia mtu asikupigie.
Nawasilisha nikiwa na matumaini makubwa ya kusaidiwa katika hili.
Nawasilisha nikiwa na matumaini makubwa ya kusaidiwa katika hili.