Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 911
Wadau tushirikishane mawazo katika hili. Nimekutana nalo katika matumizi ya App moja ikaweza kunionesha matumizi ya kila Application niliyoinstall katika simu yangu na ikaweza kunionyesha kila moja na shughuli yake. Sasa lakushangaza App moja pendwa ikaonekana ndiyo inatumika na udukuzi. Sasa isijekuwa hii nayo pengine inajitafutia umaarufu kwa kunionyesha vitu vya uhongo.
Mawazo yenu wa ndugu.
Mawazo yenu wa ndugu.