Hhtc one m9 vs huawei p8 vs xperia z2

xenon

Senior Member
Nov 17, 2016
130
79
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu ,natakiwa nichague simu moja kati ya hizo 3 sasa ndo niko confused
Msaada wenu wakuu wazee tech&gadgets

Nawasilisha
 
fasta waambie htc one m9 hiyo ndio simu safi kwanza imepata upgrade to android nougat 7
pili ina chipset snapdragon 810 hivyo tegemea kurun vizuri game na app mbalimbali tofauti na Z2 ya kizamani

tatu ni simu yenye camera bomba kushinda hao wengine
 
Chukua Sony Xperia Z2 hutojutia

fasta waambie htc one m9 hiyo ndio simu safi kwanza imepata upgrade to android nougat 7
pili ina chipset snapdragon 810 hivyo tegemea kurun vizuri game na app mbalimbali tofauti na Z2 ya kizamani

tatu ni simu yenye camera bomba kushinda hao wengine
Sasa wakuu mnamchanganya huyo muulizaji hapo juu hahahahaha
Ila me kwa upande wangu nakushauri chukua m9 japo kuna kipindi nlisikia hawa htc wanaelekea kufa au waliuza kampuni sina uhakika kwakweli..
Xperia z2 ni nzuri ila nna wasiwasi na camera yake na kwa upande wa huawei p8 siijui vyema japo kwenye reviews wanaisifia sana kuliko z2
 
Back
Top Bottom