Tueleweshane fani hizi za Branding & 2D na 3D animation

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,240
1,794
Branding & 2d na 3d animation

Kwa tanzania je inatoa ki maisha ?
Maana nimeuliza wengi wanasema kwa east afrika kenya inawatoa wengi je wale wanao fanya fani hii hapa tanzania wananufaika vipi?
 
unataka ujue nini zaid
Nataka kujua kwa ushaidi maana wengi niliouliza si wafanyaji kwa hio wamenipa majibu ya aina hiyo vipi kama wewe mfanyaji/mhusika nijuze zaidi kwa fact hii ni online research
 
aah bas uliza kitu specific ili upate majibu mazuri,mfano unataka kujua software gani zinatumika? training utapataje? 2d na 3d modelling zinatumika wapi?
 
Back
Top Bottom