Msaada wenu kuhusu google map.

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,089
2,199
Hivi nikitaka eneo flani liweze kuonekana kweny google map nafanyaje? Mfano nyumba au mtaa then mtu akisearch kwenye google map anaiona hyo nyumba au mtaa. Msaada wenu wadau
 
[HASHTAG]#Compact[/HASHTAG]

umeelewa swali langu?
 
mkuuuna bahati mbaya sana sababu map maker imefungwa kama mwezi hivi uliopita, hio ndio walikuwa wanatumia kutengeneza ramani.

kuna alternatives hapa zijaribu

How to Make Edits if Google Map Maker is Closing March 2017 | Google Local Guides
Chief eeeh,,

Simu yangu inazungumza TIME tofauti na ile ya Widget
Kweny Notification bar inazungumza sawa 16:50 ila kwny Widget (Wallpaper) inasema Location na Time 20:33

Nmejarb kuidelete na kuitudsha upya bt failed
Musaada plz
 
haina setting hio widget? ni widget gani?
 
haina setting hio widget? ni widget gani?
CHEQ HII WIDGET MKUU
Chief eeeh,,

Simu yangu inazungumza TIME tofauti na ile ya Widget
Kweny Notification bar inazungumza sawa 16:50 ila kwny Widget (Wallpaper) inasema Location na Time 20:33

Nmejarb kuidelete na kuitudsha upya bt failed
Musaada plz
 
Attachments

  • Screenshot_2017-05-05-17-07-52.png
    Screenshot_2017-05-05-17-07-52.png
    187.6 KB · Views: 38
Back
Top Bottom