medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,398
- 1,418
Kuna tatizo tokea kwenye pc baada ya kufuta partition yenye linux kwenye 'disk management' na kuibakisha main OS ambayo windows 10. Sasa kila nikiwasha pc inanipeleka kwenye grub rescue, nikitengeneza bootable usb bado inagoma na kunipeleka kwenye grub rescue. Nifanyeshe kurudisha windows iliyopo au kupiga upya?