toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,713
Niliwahi kuona uzi wa mtu akiulizia kuhusu hili la hizi decoder zinazouzwa mitandaoni kule ebay na aliexpress
Nami kutokana na kuchoka kulipia mpaka hizi local channel nikaona isiwe tabu
Nimeingia mitandaoni nikaperuzi nikakutana na hii DIGITAL TERRESTRIAL DECODER ambayo inauzwa kutoka China
Wanasema ni free channel
Na wanaship mpaka Africa
Sasa ndugu zangu nauliza nikiagiza kitakubali kwa tz hasa nikitumia kwa antenna maana wameandika ni "terrestrial?
Local channel je?
Nimeambatanisha screen shot nilizopiga kule
Nikinunua mfano nikija kutumia na antenna itakubali?