Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Lenovo ZUK Z2 $176 RAM: 4GB Storage: 64GB Chip: Snapdragon 820 2.15GHz Quad-core (Processor ile ile ya Galaxy S7/Edge, LG G5 na flagship zengine za 2016) Screen: 5 inch (1080 x 1920) Battery...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni LG G3. Mara nyingi inakata network inaonesha kama hakuna laini kwenye simu. Ni kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini. Wakati mwingine nikizima na kuwasha kama mara hamsini ndoinakubali...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Habari za wakati huu. Nimekuwa nikipata story tu za huko dark/deep web kama kuna mtu yoyote mwenye ujuzi wa kuingia huko naomba anisaidie. Nataka nikashangae tu nothing serious.(nimejaribu ile app...
1 Reactions
24 Replies
12K Views
Naimani mu wazima wanajf. Natumia huawei Y336, nashindwa ku upload picha na video zilizopo kwenye memory card jamii forum. Lakin social network zingine kama fb, whatssup, n.k inakubali. Wataalamu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, Niliwahi soma oracle nikiwa chuo ila hatukupewa cheti nahitaji mahali apa dar es salaam niweze kufanya mtihani na kuwa oracle certified napenda kujua na gharama kabisa. Nitashukuru nikijibiwa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina betri la N26 nataka kutengeneza inveta,sasa naomba msaada ni inveta ya watt ngapi naweza kutengenezesha kwa betri hilo
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Siku jumamosi nilikabwa nikanyang'anywa simu yangu bahati nzuri nikafanikiwa kubaki na mmoja wa hao watu wakabaji.kwa sasa Mimi ninajiuliza nitaipataje maana hata aliyekamatwa kagoma kutoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mwnye custom rom ya simu husika hapo juu anisaidie link maana nmejaribu tafta nmekosa napenda kutanguliza shukran kwenu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Haya wadau wa game la SIMCITY tuje hapa. Mwenye utundu wa jinsi ya kupata free coin aiseeh aumwage hapa maana nina siku kama tatu hivi sina pesa na raia hazina umeme, maji hamna ,maji machafu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanajamvi naomba kujua wap nawezapata watengenezaji wazuri wa application ya kwenye simu. Kma zle zilzopo playstor na gharama yke ni kma bei gan cjui.
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari guys, poleni na majukumu Nilikua naomba link ya kudownload software za satelite receiver
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Wakuu hv ni app ip nzur unayoifrahia kwa kuchart pekee tujuzane nasi tuipakue wengi hatuzijui tunajua whats app tu na badoo kwa mbali
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Naomba kujua jinsi ya ktumia MMS Kwenye cm Kwa anayejua
0 Reactions
2 Replies
609 Views
Habari mkuu.. As stated above... Nahitaji msaada kwa watalaam namna ya kuandaa link ambayo mtu anaweza kuifuata na hatimaye kujiunga na group moja kwa moja. ASANTE!
0 Reactions
5 Replies
10K Views
wakuu nahitaji msaada keyboard ya PC imemwagikiwa na chai ya moto na baadhi ya sehemu zimekuwa nzito kuzibonyeza je vipi naweza kuzirudisha katika hali ya kawaida.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nilifanikiwa kufuatilia ule uzi wa Wickerman kuhusiana na Unlocking MODEM ya E3372h-153 na kufikia kwenye option ya kuhitaji unlock codes. Kama kuna mtu ambaye anauza hizi unlock...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Habar wana jf Nina simu w4 lain one haipandishi 3G nimejaribu kwenda kwenye setting pale preference network inaniambia niingize network ID kwa anayejua please!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kampuni ya utengenezaji magari ya Toyota, ambayo imefadhili utengenezaji wa gari inayoruka angani ikiwa ni mradi uitwao Cartivator Project, yamepanga kuzinduliwa mwaka 2020 katika mashindano ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
S5 has corrupted its OS ... So it uses a temporary OS of techno' now can you help me to return back its OS system as it is? Nakama ni pesa inahitajika kiasi gani ili niweze kufanikisha coz warrant...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Nahitaji kubadilishana ujuzi na wataalamu wa Auto CAD. Karibuni wakuu
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…