makelejasix
Member
- May 18, 2017
- 11
- 7
Siku jumamosi nilikabwa nikanyang'anywa simu yangu bahati nzuri nikafanikiwa kubaki na mmoja wa hao watu wakabaji.kwa sasa Mimi ninajiuliza nitaipataje maana hata aliyekamatwa kagoma kutoa ushirikiano anaweza akafungwa na simu yangu ya android nisiipate.imei namba yake ninayo.nilijaribu kuiserch google map imezimwa siku tano zilizopita.baadae imegoma hata kuonyesha
