Wapi naweza fanya mtihani wa oracle Dar es salaam

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,430
3,531
Habari,
Niliwahi soma oracle nikiwa chuo ila hatukupewa cheti nahitaji mahali apa dar es salaam niweze kufanya mtihani na kuwa oracle certified napenda kujua na gharama kabisa.
Nitashukuru nikijibiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom