Tecno W4 kwa upande wa network

omary khamis

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
402
77
Habar wana jf Nina simu w4 lain one haipandishi 3G nimejaribu kwenda kwenye setting pale preference network inaniambia niingize network ID kwa anayejua please!!!
 
Mbn m naitumia fresh tu, tatzo hlo nenda dukan kwao mkuu au kwa wakala wao wakurekebshie, otherwise ni network ya eneo ulilopo
 
Back
Top Bottom