HIVI KUNAUWEZEKANO KWA HILI

Ben Nyoni

Senior Member
Dec 28, 2014
115
136
Nina betri la N26 nataka kutengeneza inveta,sasa naomba msaada ni inveta ya watt ngapi naweza kutengenezesha kwa betri hilo
 
Ni ya cell au maj... Na unataka utengeneze invertor ya kusukuma kitu gan

tuwekee energy consumption yaani imeandikwa current kiasi gan per hour mfano 10Amper/hour kisha unataka kutengeneza ya power kiasi gani then utajua bettri itakaa muda gani kabla haija kwisha

kwani bettri nyingi zinafaa kutengenezea ila tatizo linakuja kuwa muda ambao betri itatumika kabla ya kuisha charge
 
Back
Top Bottom