Msaada simu ya LG

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,635
3,658
Ni LG G3. Mara nyingi inakata network inaonesha kama hakuna laini kwenye simu.

Ni kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini. Wakati mwingine nikizima na kuwasha kama mara hamsini ndoinakubali.

Naisolve vipi hii issue?

Cc: CHIEF MKWAWA

015364cf7f8f7d952972502581487ac0.jpg



UPDATE:

Wakuu nawashukuruni sana kwa ushirikiano wenu. Uvumilivu wa kukaa bila smart phone umenishinda.
Leo nimeamua kuipeleka kwa fundi kariakoo. Kabadilisha kile kibati cha kuwekea laini tu saivi naendelea kula maisha tu na Life is Good (LG) yangu.
 
Angalia kama simu ishawahi badilishwa imei mostly ttzo yanaaanziaga hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom